WAZO: Simba na Yanga zicheze mechi ya kirafiki kuchangia rambi msiba wa Ismail

Msitari wa pambizo

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2014
Posts
3,098
Reaction score
5,451
Kama mwana michezo na mtu niliye guswa sana na kifo cha mchezaji chipukizi wa mbao fc nasahuri klabu za simba na yanga zicheze friend match na mapato yake japo asilimia 60 yatumike kama rambi rambi ili kuwafuta machozi familia iliyoondokewa na kijana wao tegemezi..

Nawasilisha
 
Unasema alikuwa tegemezi?
alikuwa na mke na watoto wangapi?
Na je kifo chake kimetokea mazingira gani na wapi?
 
Unasema alikuwa tegemezi?
alikuwa na mke na watoto wangapi?
Na je kifo chake kimetokea mazingira gani na wapi?
Mkuu kama ulimsikia vizur baba yake utakubaliana nami kwamba alikua akitegemewa na familia kwamba baade aje kuwa mkombozi wa familia..

mkuu kifo chake kimetokea uwanjani akiwa anaitumikia klabu yake
 

Hasara itakuwa kubwa kuliko Faida. Simba watafanya uharibifu mkubwa sana pale watakapo fungwa na Yanga....
.
.
.
.
[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…