Maisha ni simple tu mkuu,Faida utapata buku.kilo.moja sahani tano maximum
Kilo 3 sahani 15
Mauzo 15000
Matumizi
Mchele kilo 3...7000
Nyama robo....2000
Maharage kilo....2000
Mkaa.........................2000
Mafuta.............1000
Jumla 14000
Maisha sio rahisi hivyo
Good motivational speakerMaisha ni simple tu mkuu,
Ila ukitaka yawe magumu yanakuwa.
Kama imewezekana kupata faida ya buku, hata faida ya 5000 inawezekana.
Kwahiyo acha kuyafanya maisha yawe magumu.
Kabisa jaman, syo rahisiFaida utapata buku.kilo.moja sahani tano maximum
Kilo 3 sahani 15
Mauzo 15000
Matumizi
Mchele kilo 3...7000
Nyama robo....2000
Maharage kilo....2000
Mkaa.........................2000
Mafuta.............1000
Jumla 14000
Maisha sio rahisi hivyo
Kwa hali ilivyo mtaani unaweza jikuta unapata hasara badala ya faida.Kwanza hili ni wazo kwa mtu ambaye yeye hatafuti hela ya kujenga, anatafuta buku ya kula.
Tangu mwanzoni nimeweka wazi.
utafiti Nimefanya tena mkubwa, siyo mdogo.Bei za vyakula za siku hizi unazijua au umeandika tu hiyo Bei ya kuuzia bila kufanya utafiti mdogo tu?
Kwa hali ilivyo mtaani unaweza jikuta unapata hasara badala ya faida.
Mambo magumu sana mkuu
Huo mchele unaouzwa 700Tsh muuzaji anaununu kwa Shingapi?[emoji23]utafiti Nimefanya tena mkubwa, siyo mdogo.
nimeenda mbagala kuna sehemu wanauza wali na maharage kwa "700" "mia saba"
nakaa kigamboni maeneo kadhaa wakati wa asubuhi wanauza wali na maharage au njugu kwa buku mida ya asubuhi.
isitoshe mimi nimefungua kiofisi changu nauza wali kwa 1200 nawapatia na chai, asubuhi hiyo.
sasa unaposema utafiti sijui unasema nini.
yote nayaelewa mkuu. mimi nakwambia kitu ambacho nafanya, siyo cha kusimuliwa.
kuna sehemu nilienda ugali unauzwa 2000, na mboga ni zile zile sawa na yule anayeuza ugali kwa buku.
kwahiyo msiyafanye maisha kuwa magumu.
maisha ni simple tu.
Huku mikoani Wali unaanzia Tsh 500/=Huo mchele unaouzwa 700Tsh muuzaji anaununu kwa Shingapi?[emoji23]