Truth Matters
JF-Expert Member
- Apr 12, 2013
- 2,302
- 4,603
Ndugu,
Kila nikipita eneo la Mchikichini na kuona hali ya jengo la Machinga complex napata shida sana kuamini.
Ukiondoa siasa, ni kweli lile jengo lina-generate pesa kufidia investment iliyofanywa?
Maamuzi mengi ya kukidhi matakwa ya kisiasa yameangamiza uchumi wa taifa letu. Mfano, Kumbuka wakati wa Mwalimu, alijenga kiwanda cha kukata almasi Iringa, ilhali almasi yenyewe ilikuwa inatoka kanda ya ziwa!
Kwanini tusibadlishe matumizi ya lile jengo na kuwaondoa wafanyabiashara wadogo wadogo (wamachinga) na kuweka shopping complex kubwa kama za Mlimani City au Quality centre?
In nature biashara ya umachinga (hawking) haitakiwi kuwa na kikao kimoja, lazima wawe wanatembea tembea , ( nasikia neno machinga linanatokana na 'marching guy')! kwahiyo kuwaambia wakae sehemu moja static huwatendei haki.
Serikali itafute, namna nyingine ya ku-deal na issue ya Wamachinga!