Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Kuna wazo moja niko nalo kichwani hapa la majani ya chai/kahawa spesho kwa wanaume kwamba inaongeza nguvu za kiume unachanganya na congo dust kimtindo unapitisha tbs na TFDA kutest ubora.....ikipitishwa na watu wakatumia wakaona + impact hakika nakuambia utakuwa zaidi ya Dangote utajiri huo
unaweza ukadharau kwa vile unaona hii idea imekaa kimzaha flani hivi but ni very potential....
unaweza ukadharau kwa vile unaona hii idea imekaa kimzaha flani hivi but ni very potential....