Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Sasa wew unashindwa nini kuifanya Mkuu ?Kuna wazo moja niko nalo kichwani hapa la majani ya chai/kahawa spesho kwa wanaume kwamba inaongeza nguvu za kiume unachanganya na congo dust kimtindo unapitisha tbs na TFDA kutest ubora.....ikipitishwa na watu wakatumia wakaona + impact hakika nakuambia utakuwa zaidi ya Dangote utajiri huo
unaweza ukadharau kwa vile unaona hii idea imekaa kimzaha flani hivi but ni very potential....