Kama kabadilisha kada kuna possibility akaanza 1Mtumishi X alikuwa Technician chuo kikuu. Amepata uhamisho kwenda taasisi Y kwa nafasi ya ukaguguzi/Inspection Officer.
Hoja yake:
Ametumikia cheo Cha Technician miaka 2 na mwakani anatakiwa kupanda daraja.
Je akihamia taasisi Y, kwa nafasi ya Inspection Officer watampandisha au ndio ataanza kuhesabiwa mwaka wa kwanza asubiri Tena mitatu ndio apande?
NB:
Elimu anayohama nayo ni ileile ya Bachelor of Science.
Je unaweza kubadilisha kada kwa elimu ile ile?Kama kabadilisha kada kuna possibility akaanza 1
Una uzoefu na kitu Kama hiki?Atapandishwa tu asijali.
anaanza upya, ko atasubili mitatu tenaMtumishi X alikuwa Technician chuo kikuu. Amepata uhamisho kwenda taasisi Y kwa nafasi ya ukaguguzi/Inspection Officer.
Hoja yake:
Ametumikia cheo Cha Technician miaka 2 na mwakani anatakiwa kupanda daraja.
Je akihamia taasisi Y, kwa nafasi ya Inspection Officer watampandisha au ndio ataanza kuhesabiwa mwaka wa kwanza asubiri Tena mitatu ndio apande?
NB:
Elimu anayohama nayo ni ileile ya Bachelor of Science.
Thanks!anaanza upya, ko atasubili mitatu tena