Ni mara yangu ya kwanza kufanya interview.
Niliomba nafasi ya kujiunga na masoma kwa mwaka wa masomo 2015/2016 katika Chuo Cha Sanaa na Muziki Bagamoyo ambapo jana nimetumiwa sms kuwa nataarifiwa kwenda kwenye interview.
Je,ni yapi ya msingi kuyazingatia ukizingatia na location niliyoitaja.
UGENI NI UTOTO