Anatushirikisha jamiiforum kwanza, halafu kesho ataanza kuaga majirani ndugu jamaa na marafiki, halafu ajipange na safari wiki ijayo ndio akakate tiketi aende huko kijijini kununua mzigo.Acha mbwembwe ,yaani uwe na project ya kununua tani kadhaa halafu ushindwe kwenda shamba kujaza ndoo na kupima uzito unaumwa malaria kali wewe.
Baadae atatuuliza fuso moja inaingia maparachichi mangapiAcha mbwembwe ,yaani uwe na project ya kununua tani kadhaa halafu ushindwe kwenda shamba kujaza ndoo na kupima uzito unaumwa malaria kali wewe.
Ni mbali mkuu. Siwezi kufunga safari yote hiyo bila kuwa na hesabu kamili nione kama biashara italipa au la. Lengo langu ni kuwa na estimation ya bei ya tani maana nimepewa bei ya ndoo.Acha mbwembwe ,yaani uwe na project ya kununua tani kadhaa halafu ushindwe kwenda shamba kujaza ndoo na kupima uzito unaumwa malaria kali wewe.
Hata si lazima kwenda shamba. Sokoni tu aweza nunua akapima.Baadae atatuuliza fuso moja inaingia maparachichi mangapi
Mbali nje ya nchi, au?! Mathalani upo Dar es salaam, je Soko la Stereo Temeke nako mbali?! Na popote ulipo, kuna masoko mangapi sawa na Soko la Stereo, Temeke?! Kama unaweza kununua tani kadhaa, utashindwaje kwenda Stereo kununua ndoo moja ya maparachichi?! Au hata ukitoa Sh 10K kwa muuza maparachichi ukamwambia shida yako ni kufahamu tu ndoo 1 ya parachichi ni kilo ngapi, unadhani ataiacha hiyo 10K wakati mizani zipo hapo hapo jirani yake?!Ni mbali mkuu. Siwezi kufunga safari yote hiyo bila kuwa na hesabu kamili nione kama biashara italipa au la. Lengo langu ni kuwa na estimation ya bei ya tani maana nimepewa bei ya ndoo
Haya kaa hapo hapo kama umepigiwa misumari.Ni mbali mkuu. Siwezi kufunga safari yote hiyo bila kuwa na hesabu kamili nione kama biashara italipa au la. Lengo langu ni kuwa na estimation ya bei ya tani maana nimepewa bei ya ndoo
wewe si ukanunue hata sokoni pale manzese? acha kutuchosha bhanaNi mbali mkuu. Siwezi kufunga safari yote hiyo bila kuwa na hesabu kamili nione kama biashara italipa au la. Lengo langu ni kuwa na estimation ya bei ya tani maana nimepewa bei ya ndoo.