Wazoefu Wa Biashara Za Nywele Dar

Rose Of Africa

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2020
Posts
228
Reaction score
96
Habari wakuu,

Niende moja kwa moja kwenye mada. Mwenye/Wenye uzoefu wa biashara ya kununua na kuuza nywele, ni wapi naweza kupata, Hair Wigs kwa hapa Dar?

Natanguliza shukurani zangu
 
Habari wakuu,

Niende moja kwa moja kwenye mada. Mwenye/Wenye uzoefu wa biashara ya kununua na kuuza nywele, ni wapi naweza kupata, Hair Wigs kwa hapa Dar?

Natanguliza shukurani zangu
Unahitaji ngapi nikuagizie kutoka Dubai.
Whatsapp 0527794329
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…