Mchuchu hajakuelewa mkuu , tafuta mwingine tu atakae kuelewaAu ni mbinu ya kunitoa mchezoni
Dunia ina wanawake wengi sana, kusumbuka na mmoja ni ka vile huna kazi za kufanya broOngea mkuu huenda ukaokoa jahaz
Hapo ni wewe tu mkuu, ila kiufupi hakutakiSio kuwa nibadili mbinu mkuu
Kashatiwa tayari hujaelewa nini hapo sasa? Kuna muhuni ameshamkazaOngea mkuu huenda ukaokoa jahaz
Umemchelewesha ila hua tunasalandia mpaka tunakula wewe amekudharau sanaSasa kunikubalia alikuwa na maana gani