Wazoefu wa haya mambo tusaidiane hapa

Inaonekana hajaridhika na ubahili wako ,the way ulivyo muhandle ,siku ya kwanza ulitakiwa uteketeza kibunda pasipo mfano yaani mazagazaga na mazagayose ungechafua meza kwa madikodiko ya hatari ,hapo hisia zingekuja.
 
Kibunda nilichommwagia hakijatosha😆
 
Dah nikajua labda amesikia harufu ya mdomo maana inakata kuliko unavyodhani🙌
Au hajakupenda kabisa
Au kapima kaona kiduchuuuu
Au kapima kaona dude eeeeh
Hiv alikushika huko?
Hapo kwenye dude inawezekana ikawa kweli maana nna urefu wa ft6.5 kitanda cha futi6 hakinitoshi ila sasa ndio aseme hana hisia namimi jamani
 
Fanya mambo mengine huyu atakuumiza akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…