Wazoefu wa haya mambo tusaidiane hapa

How old ar you???
I mean how much are you in bank acc years old
??
 
Yee alidhani akija kwako ungeanza kumpa hela kwanza, akiunganisha hakupendi ndo anakosa raha kabisa.hata ivyo nimkwel ameahindwa kufeki vitu.
 
Yee alidhani akija kwako ungeanza kumpa hela kwanza, akiunganisha hakupendi ndo anakosa raha kabisa.hata ivyo nimkwel ameahindwa kufeki vitu.
Dah ila hawa watu wabaya sana ndio aseme hana hisia na mimi kama tatizo ni kibunda si aseme niongeze kama maamua kuwa mkweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…