Wazoefu wa haya mambo tusaidiane hapa

Kuna muda kwenye biashara zinakata steam ya mambo mengine mengine

Au maumivu ya mahusiano yaliyopita ukayaleta kwa mapya

Na kukosa pesa pia
Kwa mujibu wa maelezo yake ya nyuma alishapigwa matukio hivyo inawezekana point no 2 ikawa sahihi ila ndio asiwe na hisia za kuzagamuana ila awe na husia na kibunda changu hapana kwakweli
 
Anataka umpe ahadi za maokoto hakuna kingine hapo.
Anakupa presha tu ili ujitutumue mfukoni.
Chaguo ni lako kusuka au kunyoa
 
Mpotezee, usishoboke naye kabisa na wala akikupigia simu usipokee...

Ipo siku atajileta mwenyeweeee

Wakuu salute sana hatimae nimelamba asali iliyotunzwa na malkia hii mbinu nimeitumia haijapita hata mwezi manzi anajiliza

Mwisho wa siku kwa nauli yake katoka point A kuifata bakora point B
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…