Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok nimeichukua hii.Facebook jiunge na yale magroup ya biashara ktk mkoa uliopo, then unakua unapost bidhaa zako ktk hayo magroup. Angalau kwa siku hukosi wateja 5 ukitangaza biashara yako.
Instagram ni ngumu otherwise hadi uwatumie watu wenye followers wengi sana wakupostie
Inategemea na idadi ya followers ulionao... Mfano kama unao 100 basi kuna followers 30-50 wataongezeka kuona hilo tangazo, that means watu 120-150 wataona.Ok nimeichukua hii.
Instagram vp ukiweka sponsored post?
Asante sana mkuu kwa roho nyeupe, nimechukua haya madini.Inategemea na idadi ya followers ulionao... Mfano kama unao 100 basi kuna followers 30-50 wataongezeka kuona hilo tangazo, that means watu 120-150 wataona.
But uchache wa followers usikuogopeshe, wewe post tu, siku zinavyo zidi enda utapata follewers wengi maana watu huwa wana screenshot na kupost ktk magroup ya wasap kama una bidhaa nzuri, utashangaa unapigiwa cm tu...
Jitahid uweke bei na bidhaa inapatikana wapi, na kama kuna huduma ya delivery au laah, namba ya cm muhimu
Safi sana Mkuu, inapendeza kushauriana namna hii.Big up.Inategemea na idadi ya followers ulionao... Mfano kama unao 100 basi kuna followers 30-50 wataongezeka kuona hilo tangazo, that means watu 120-150 wataona.
But uchache wa followers usikuogopeshe, wewe post tu, siku zinavyo zidi enda utapata follewers wengi maana watu huwa wana screenshot na kupost ktk magroup ya wasap kama una bidhaa nzuri, utashangaa unapigiwa cm tu...
Jitahid uweke bei na bidhaa inapatikana wapi, na kama kuna huduma ya delivery au laah, namba ya cm muhimu
Sponsored post ni nzuri zaidi kwani unaweza kuchagua budget yako,jinsia ya watu unaotaka waone,umri wao nk.Ok nimeichukua hii.
Instagram vp ukiweka sponsored post?
Nakazia hapaFacebook jiunge na yale magroup ya biashara ktk mkoa uliopo, then unakua unapost bidhaa zako ktk hayo magroup. Angalau kwa siku hukosi wateja 5 ukitangaza biashara yako.
Instagram ni ngumu otherwise hadi uwatumie watu wenye followers wengi sana wakupostie
Me huwanatumiahashtags tu lakini wateja wanapiga simu saaanaSponsored post ni nzuri zaidi kwani unaweza kuchagua budget yako,jinsia ya watu unaotaka waone,umri wao nk.
Mimi natumiaga sponsored post haijawahi kuniangusha simu lazima ziite
Digital products ndo zinauzika kwenye mitandao ya fb, insta kwa support ya whatsapp, nina page fb nimeuza sana digital products as soccer tipsterNaomba mawazo yenu mnaotumia Instagram na Facebook kuuza bidhaa. Kwa winga anaechukua vitu kariakoo ni bidhaa gani rahisi kuuzika ukiweka insta na FB alafu ukaipromote?
Tusaidiane uzoefu, keki ni kubwa kila mtu walau apate kipande.
Bidhaa zisizoshikikaDigital products kama zipi mkuu?