Wazoefu wa iringa + manyunyu seconadary school

reandle

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2009
Posts
11,166
Reaction score
8,148
Wadau,
Naomba data kuhusu shule moja inayoitwa Manyunyu Secondary School. Kuna mtu kaniambia hii shule inapatikana Iringa. Ninependa mtu anayeifahamu anijuze kama kweli ipo Iringa; ipo Iringa sehemu/wilaya gani! vp status ya shule?
 
naona mwaka huu kuna shule mpya nyingi
 
Wadau,
Naomba data kuhusu shule moja inayoitwa Manyunyu Secondary School. Kuna mtu kaniambia hii shule inapatikana Iringa. Ninependa mtu anayeifahamu anijuze kama kweli ipo Iringa; ipo Iringa sehemu/wilaya gani! vp status ya shule?

Ni kweli shule hii ipo Iringa na ni shule ya wasichana tu aliianzisha Makweta (Mb) kama miaka 10 ivi iliyopita na kwa sasa ni ya serikali. Ipo Wilaya ya Njombe Mashariki tarafa ya Lupembe kata na kijiji cha Matembwe umbali wa KM kama 60 ivi toka Njombe town.
Ni shule ya hostel na ipo very strictly. Na kuhusu performance ya F4s embu wacheki Necta kwa S0271.
 
Wadau,
Naomba data kuhusu shule moja inayoitwa Manyunyu Secondary School. Kuna mtu kaniambia hii shule inapatikana Iringa. Ninependa mtu anayeifahamu anijuze kama kweli ipo Iringa; ipo Iringa sehemu/wilaya gani! vp status ya shule?
Kwa mwendo huu hata rushwa unaweza kuombwa. Unashindwa ninii kugoogle hapo na kuangali shule inafanyaje?? na iko wapi??? Gonga hapo
http://www.matokeo.necta.go.tz/CSEE2008/s0271.htm na http://admin.udsm.ac.tz/necta2010/CSEE2010/s0271.htm utaona ilivyo na matokeo mabaya. Sio hiyo strictness kama inawasaidia. Kwa ujumla ni utata!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…