Wazoefu wa kuagiza bidhaa Kikuu

Wazoefu wa kuagiza bidhaa Kikuu

nusuhela

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
5,915
Reaction score
7,210
Kwa wale wazoefu wa kuagiza mizigo Kikuu.

Ningependa kujua hatua ya mwisho baada ya kutrack na ikaonyesha time out.

Nimeona mzigo tayari ulishachukuliwa na rider siku tatu zilizopita.Nini kinafuata baada ya hapo?
 
tusubili wazoefu was huo mtandao lkn mm napenda eBay MTU unakuwa safe.
 
kama Mzigo wako ushakuwa shipping na Siku ulizopewa Mzigo wko ukufikie zimeisha!! subri Agent wako atakupigia simu!! wapi Mzigo ulipo!!
tarehe 16 mwezi Huu nimepokea Mzigo wangu Kutoka KIKUU baada ya Siku 10
Uhakika zaidi niliupata hapa hapa JF kisima cha Maarifa!! wiki ijayo naagiza tena
 
unabahati, Mzigo niloagiza last Dec inaonekana umefika hapa kwenye warehouse dar, Ila since January nasubiri simu yao,
 
Inawezekana wanausahau katika kufanya delivery wapigie kama wanausahau watauweka kwenye list...
 
Ukiweza fika katika ofisi zao zipo pale shoppers plaza

mkataba ulikuwa wao kuniletea sasa kuanza kuwafuata ni kukiuka mkataba, ukichati nao wanakupa contact za hapa, wa hapa ukiwapigia hawana taarifa full mikanganyiko,
 
Back
Top Bottom