kama Mzigo wako ushakuwa shipping na Siku ulizopewa Mzigo wko ukufikie zimeisha!! subri Agent wako atakupigia simu!! wapi Mzigo ulipo!!
tarehe 16 mwezi Huu nimepokea Mzigo wangu Kutoka KIKUU baada ya Siku 10
Uhakika zaidi niliupata hapa hapa JF kisima cha Maarifa!! wiki ijayo naagiza tena
mkataba ulikuwa wao kuniletea sasa kuanza kuwafuata ni kukiuka mkataba, ukichati nao wanakupa contact za hapa, wa hapa ukiwapigia hawana taarifa full mikanganyiko,