Nisaidien nashndwa kulpa kwa m-pesa baada ya kubet kwenye mtandao,,
yaan nashndwa kutofautsha kat ya reference namba na ticket namba znatumika wakat gan pale ukibonya *150*00#
Reference namba ndio tiket namba. Ila namba ya kampuni ni 300300 alaf kwenye namba ya kumbukumbu hapo ndio unatia reference namba au tiket namba kwa lugha iliyozoeleka