Hiyo jamaa yangu yuko mgodi wa dhahabu mkoani so katika kuchimba dhahabu wakatoa hilo so akanitumia wao wanakipimo cha dhahabu pekee ndiyo maana nimesema msaada tutani maana sikuwa na jibu la kumpatia zaidi ya makisio.Hahahaaa hilo ni jiwe tu la mlimani hakuna dini hapo wala nini..
Kama unataka madini migodi ipo mingi tu unaweza kwenda kujaribu bahati yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu yupo machimboni kimsingi kila anachopata lazima atafute undani na kuhusu maisha usidhani kila mtu yamekaba hilo haliwezekani yakabe kwa watu wote. Maisha nikama pambano la mpira mmoja akishambulia ujue mwingine anakaba so wakati unalia kuna mwingine anacheka.Aiseee! kweli maisha yamekaba
Yeah unaweza kuwa sahihi mkuu vipi kuhusu properties za Moissanite umeshaifuatilia pia?Hiyo ni quartz
Vp umeshauza?Nini mtazamo wako baada ya kutazama madini haya?
Mimi nadhani inaweza kuwa Diamond au Moissanite nipe mtazamo wako.
View attachment 576020View attachment 576021View attachment 576022View attachment 576023
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio mossanite, inaitwa masainite, masainite ni stones zinazopatikana kwa wamasai tu ni kama tanzanite lakini masainite haifikii tanzanite kwa thamaniYeah unaweza kuwa sahihi mkuu vipi kuhusu properties za Moissanite umeshaifuatilia pia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio mossanite, inaitwa masainite, masainite ni stones zinazopatikana kwa wamasai tu ni kama tanzanite lakini masainite haifikii tanzanite kwa thamani
Ningekuelimisha zaidi lakini kwa sababu umetumia lugha yenye maudhi ngoja niishie hapa, ukipenda Google "MINE KINGS" uangalie part moja mpaka saba, part mojawapo hapo inahusu masainiteAcha uongo kaka, kama hauna facts bora usiandike kuliko kusema uongo,
1: Hakuna jiwe au madini Duniani yanayoitwa Masainite
2: Mossanite ni madini yaliyogunduliwa mwaka 1893 na Bwana Henri Moissan, na hilo jina lake la pili ndio likachukuliwa kuwa jina la hilo jiwe, na yeye alipogundua hilo jiwe alijua kuwa kapata Almas mpaka baadae ilipokuja kugundulika vinginevyo
Siyo kila kitu tuchangie kishabiki hapa ni elimu ya jambo hakuna biashara so hakuna winner wala looser.Umeshaliwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Changalawe hiyo