Wazoefu wa Mji wa Moshi, naomba kuelekezwa Ofisi za Posta zipo maeneo gani kwa hapo Moshi mjini

Wazoefu wa Mji wa Moshi, naomba kuelekezwa Ofisi za Posta zipo maeneo gani kwa hapo Moshi mjini

commm

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2019
Posts
1,709
Reaction score
1,963
Habari gani wakuu,ningependa kuelekezwa Ofisi za POSTA kwa hapo Moshi mjini zipo maeneo gani.

Nawasilisha.

Ahsante
 
Kama unatokea YMCA kwenye round about unayokutana nayo upande wa kulia ndio posts.

Kama unatokea pasua ukipita njia ya polisi central pita stand baada ya stand nyoosha hiyo njia inapopinda kukutana na double lane kushoto ndio posts.

Kama unatokea majengo ukifita station Kuna njia unaingia kulia inapita zamani Nakumat, CRDB Bank ilifika round about mbele yako utaona posta
 
Kama sijachanganya mafaili, Ipo karibu na round about ya Chini Karibu na Bank za NBC na Crdb.
 
Kama unatokea YMCA kwenye round about unayokutana nayo upande wa kulia ndio posts.

Kama unatokea pasua ukipita njia ya polisi central pita stand baada ya stand nyoosha hiyo njia inapopinda kukutana na double lane kushoto ndio posts.

Kama unatokea majengo ukifita station Kuna njia unaingia kulia inapita zamani Nakumat, CRDB Bank ilifika round about mbele yako utaona post
Mkuu Nakumat imefungwa? Pale Moshi?
 
Ulizia Fresh Coach au TTCL, ukishafika hapo utakua tayari umefika Posta Moshi
 
Nakumat walikuwa wakenya walikuwa Dar pale kama unakumbuka walipata shida kubwa sana kenya kuvamia na magaidi ya Alshababy walipata hasara sana na waliuawa wengi

Ndio masukosuko ya Nakumat ilipoazia
 
Ukifika benk ya NBC ulizia posta utaelekezwa hakuna haja ya kupanda bodaboda ni umbali wa mita 90 tu kufika posta
 
Back
Top Bottom