Wazoefu wa ufugaji wa samaki hizi nyaya ni za nini kwenye bwawa? Angalia picha

SIPIYU30

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
1,751
Reaction score
2,437


Kama picha inavyojieleza yenyewe, hao jamaa wanawaingiza vifaranga wa samaki bwawani, ila naona nyaya kama za umeme zimetoka kwenye switch zikaingia bwawani na kuna kichwa kikubwa tu sijui nawaza ni kwa ajili ya nini. Anayejua matumizi yake tafadhali tusaidiane maarifa. kwa kuhisi tu nikafikiria ni heating system ili kuyapasha maji yapate joto ili vifaranga vizoee mazingira mapya bila mshtuko. sijui lakini sijawahi kuona hapa bongo
 

Attachments

  • Screenshot_20210301-171958_YouTube[1].jpg
    82.8 KB · Views: 18
Inajaza oxgen ndani ya bwawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…