Wazoefu wa ujenzi tukutane hapa.

Wazoefu wa ujenzi tukutane hapa.

jayde

Senior Member
Joined
Nov 17, 2018
Posts
146
Reaction score
176
Wakuu salam,

Nahitaji kujenga vyumba vya kupangisha kwa watu walio single yaani chumba na sebule ndogo na choo cha ndani. Nahitaji vyumba vitatu, nitatumia matofali ya kuchoma, bati za kawaida na nipo mkoani Tanga. Natakiwa niwe na shilling ngapi ili niweze kufikia level ya kupaua? Gharama za material na ufundi.

Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu salam,Nahitaji kujenga vyumba vya kupangisha kwa watu walio single yaani chumba na sebule ndogo na choo cha ndani.Nahitaji vyumba vitatu,nitatumia matofali ya kuchoma,bati za kawaida na nipo mkoani Tanga.Natakiwa niwe na shilling ngapi ili niweze kufikia level ya kupaua? Gharama za material na ufundi.Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
ukianza na mbwembwe kama hizi,hautajenge...we jitose tu mzima mzima,ngoja nikupe siri kwenye kujenga ni mwiko kuogopa kudaiwa...
 
Wakuu salam,Nahitaji kujenga vyumba vya kupangisha kwa watu walio single yaani chumba na sebule ndogo na choo cha ndani.Nahitaji vyumba vitatu,nitatumia matofali ya kuchoma,bati za kawaida na nipo mkoani Tanga.Natakiwa niwe na shilling ngapi ili niweze kufikia level ya kupaua? Gharama za material na ufundi.Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tenga 20m.. ikizidi ni kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jenga hii nyumba kwa 15M tuu kila kitu mpaka iishe

Au 8M kujenga msingi,kuta na bati
1516809332000.jpeg
 
Back
Top Bottom