ukianza na mbwembwe kama hizi,hautajenge...we jitose tu mzima mzima,ngoja nikupe siri kwenye kujenga ni mwiko kuogopa kudaiwa...Wakuu salam,Nahitaji kujenga vyumba vya kupangisha kwa watu walio single yaani chumba na sebule ndogo na choo cha ndani.Nahitaji vyumba vitatu,nitatumia matofali ya kuchoma,bati za kawaida na nipo mkoani Tanga.Natakiwa niwe na shilling ngapi ili niweze kufikia level ya kupaua? Gharama za material na ufundi.Ahsante.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tenga 20m.. ikizidi ni kidogoWakuu salam,Nahitaji kujenga vyumba vya kupangisha kwa watu walio single yaani chumba na sebule ndogo na choo cha ndani.Nahitaji vyumba vitatu,nitatumia matofali ya kuchoma,bati za kawaida na nipo mkoani Tanga.Natakiwa niwe na shilling ngapi ili niweze kufikia level ya kupaua? Gharama za material na ufundi.Ahsante.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitaka kuongeza maneno zaidi nimeshindwa,Tafuta fundi huko tanga akupigie bajeti.
Nb: nyumba haijengwi kwa bajeti za kwenye makaratasi
Sent using Jamii Forums mobile app