kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 10,406
- 19,892
Siku kadhaa nyuma nilibahatika kuwa na wazungu waliokuja hapa ofisini kwetu kwa shughuli flani.
Katika story za hapa na pale wakaniuliza kwa nini wanawake wengi wa kiafrica wamenenepa makalio?
Nikawajibu ndio raha yetu sisi wanaume zao tukiyaona.
Jamaa wakaniambia kule kwao mwanamke akiwa na makalio makubwa wao wanamchukulia kama ulemavu.
Hili suala limenishangaza kidogo.
Huku kwetu Africa baadhi wanawake wanaenda Turkey kufanyiwa surgery za kuongeza wezere kumbe huko duniani wenzetu wanauchukulia kama ulemavu?