Wazungu kwanini mmekuwa mkibagua mikoa ya kuishi na ya kufanyia Utalii(Whites you seggregate regions for tourism,why?)

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
448
Reaction score
409
Wazungu nawashangaa sana kuna mikoa na wilaya hamfiki kabisa wakati ndiyo inawaongezea kipato ktk nchi zenu mfano mikoa inayotoa samaki kama Mwanza na Kigoma na mikoa na wilaya mnazovuna madini kama Geita,Mara,Kahama na Kagera

Mkisema hakuna vivutio mbona Singida na Tanga mpo Kwa wingi kwanini isiwe mikoa hiyo ili na sisi tupate fedha za kigeni,mahotel yajae tuuze Chakula na tujifunze utamaduni wenu na nyie mjifunze wetu

Mnajazana sehemu Mona kupiga Picha na sungura au swala au kupiga Picha na mlima mnaacha kujazana sehemu mnapoingiz Kwa wingi fedha na Mali zenye thamani kama madini,

Kwanini migodi yenu isijenge hotel za kitalii mkaweka mabwawa ya kuogelea kama mliyojenfa mbugani

Huku Luna wasichana wazuri wanaojua kucheza ngoma za asili Kwa kuzungusha nyonga na kukata viuno kwanini migodi isiwawezeshe wakawa na vikundi kisha tukawa na matamasha kama Zanzibar,kwani Shilole si mnyamwezi viuno si kajifunzia hukuhuku Leo watalii wanajaa kuona viuno vyake,he wapo wangapi wanaozeeka na baraka za uchezaji waliobarikiwa

Wazungu muanze kutalii na huku there are best bar maids,receptionists and best cooks who know English,I assure you there will be no communication barrier

We have best clubs like Masai at Kahama,best hotel like buzwagi,Mongo hotel,Royal hotel,Nyumbani Pub and extra

Mimi nimeshawawahi Kwa kumwandikia barua rais wa dunia Donald Trump na rais wangu Dr.John Pombe Magufuli hivyo nitawananga kuwarekebisha

Whatch Rango move to see my life,i live like Tango

Instagram:kaukwaju
 
Attachments

  • IMG_20180915_221302_546.jpg
    IMG_20180915_221302_546.jpg
    8.2 KB · Views: 21
Na sisi tukienda nje tunajazana kwenye miji yao mikubwa tu kwa nini?
We nani yupo tayari kufunga safari kwenda kuona vitu ambavyo hana interest navyo? Kila mtu anajua anachokitafuta, usiite seggregation, ni personal preference tu.
 
Hahahahaaa yaani unamchagulia mtalii sehemu za kutalii na kuwalazimisha kufurahia kisichowafurahisha?hujui kuwa kuna watalii wanaenda mahali kutokana tu na hali ya hewa ya eneo husika?kuna wanaotalii kuangalia Miti,kuna wanaoenda kutazama Simba tu,kuna wanaovutiwa na mandhari ya kizamani/kikale,kuna wanaopenda kupanda milima hivyo kama huko kwenu hakuna mlima usitegemee kuwaona huko,kuna hadi utalii wa ngono! Huyo shilole wenu mwenyewe amewasusa,sasa kama kivutio ni shilole and the likes basi wapo na wamejaa huko Dar,Arusha,kilimanjaro Nk, kwa nini wasiende huko? Ila una haki ya kutazama upande unaoutaka,ila pia huna haki ya kuwalazimisha wengine watazame upande unaoutaka wewe!
 
Wazungu nawashangaa sana kuna mikoa na wilaya hamfiki kabisa wakati ndiyo inawaongezea kipato ktk nchi zenu mfano mikoa inayotoa samaki kama Mwanza na Kigoma na mikoa na wilaya mnazovuna madini kama Geita,Mara,Kahama na Kagera

Mkisema hakuna vivutio mbona Singida na Tanga mpo Kwa wingi kwanini isiwe mikoa hiyo ili na sisi tupate fedha za kigeni,mahotel yajae tuuze Chakula na tujifunze utamaduni wenu na nyie mjifunze wetu

Mnajazana sehemu Mona kupiga Picha na sungura au swala au kupiga Picha na mlima mnaacha kujazana sehemu mnapoingiz Kwa wingi fedha na Mali zenye thamani kama madini,

Kwanini migodi yenu isijenge hotel za kitalii mkaweka mabwawa ya kuogelea kama mliyojenfa mbugani

Huku Luna wasichana wazuri wanaojua kucheza ngoma za asili Kwa kuzungusha nyonga na kukata viuno kwanini migodi isiwawezeshe wakawa na vikundi kisha tukawa na matamasha kama Zanzibar,kwani Shilole si mnyamwezi viuno si kajifunzia hukuhuku Leo watalii wanajaa kuona viuno vyake,he wapo wangapi wanaozeeka na baraka za uchezaji waliobarikiwa

Wazungu muanze kutalii na huku there are best bar maids,receptionists and best cooks who know English,I assure you there will be no communication barrier

We have best clubs like Masai at Kahama,best hotel like buzwagi,Mongo hotel,Royal hotel,Nyumbani Pub and extra

Mimi nimeshawawahi Kwa kumwandikia barua rais wa dunia Donald Trump na rais wangu Dr.John Pombe Magufuli hivyo nitawananga kuwarekebisha

Whatch Rango move to see my life,i live like Tango

Instagram:kaukwaju
Unataka kuzaa nao?
 
Sasa unawaambia hao wazungu hapa JF unafikiri watakusikia?
 
unafikiri wazungu wote unaowaona mjini ni watalii!!!

kuna..

.Majasusi
.Waandishi
.Watafiti
.Waharifu
.Wanafunzi
.Watalii

hao watu weupe ifike wakati muwe mnajua kuwasoma sio kila mzungu unaemuona unajipa uhakika ni mtalii, dunia ina mambo mengi hii.
 
Hahahahaaa yaani unamchagulia mtalii sehemu za kutalii na kuwalazimisha kufurahia kisichowafurahisha?hujui kuwa kuna watalii wanaenda mahali kutokana tu na hali ya hewa ya eneo husika?kuna wanaotalii kuangalia Miti,kuna wanaoenda kutazama Simba tu,kuna wanaovutiwa na mandhari ya kizamani/kikale,kuna wanaopenda kupanda milima hivyo kama huko kwenu hakuna mlima usitegemee kuwaona huko,kuna hadi utalii wa ngono! Huyo shilole wenu mwenyewe amewasusa,sasa kama kivutio ni shilole and the likes basi wapo na wamejaa huko Dar,Arusha,kilimanjaro Nk, kwa nini wasiende huko? Ila una haki ya kutazama upande unaoutaka,ila pia huna haki ya kuwalazimisha wengine watazame upande unaoutaka wewe!
Me ila Ulishafika na kuuona mgodi wa Buzwagi au Geita mbona ni utalii tosha,njoo upige Picha
 
Attachments

  • IMG_20180914_195411_048.jpg
    IMG_20180914_195411_048.jpg
    30.4 KB · Views: 18
ulipaswa kuwaambia maliasili na utalii watangaze hivyo unavyosema kama sehemu ya vivutio nchini
 
Back
Top Bottom