FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 448
- 409
Wazungu nawashangaa sana kuna mikoa na wilaya hamfiki kabisa wakati ndiyo inawaongezea kipato ktk nchi zenu mfano mikoa inayotoa samaki kama Mwanza na Kigoma na mikoa na wilaya mnazovuna madini kama Geita,Mara,Kahama na Kagera
Mkisema hakuna vivutio mbona Singida na Tanga mpo Kwa wingi kwanini isiwe mikoa hiyo ili na sisi tupate fedha za kigeni,mahotel yajae tuuze Chakula na tujifunze utamaduni wenu na nyie mjifunze wetu
Mnajazana sehemu Mona kupiga Picha na sungura au swala au kupiga Picha na mlima mnaacha kujazana sehemu mnapoingiz Kwa wingi fedha na Mali zenye thamani kama madini,
Kwanini migodi yenu isijenge hotel za kitalii mkaweka mabwawa ya kuogelea kama mliyojenga mbugani mkatuanzia mashindano ya kuogelea
Huku kuna wasichana wazuri wanaojua kucheza ngoma za asili Kwa kuzungusha nyonga na kukata viuno kwanini migodi isiwawezeshe wakawa na vikundi kisha tukawa na matamasha kama Zanzibar,kwani Shilole si mnyamwezi viuno si kajifunzia hukuhuku Leo watalii wanajaa kuona viuno vyake,he wapo wangapi wanaozeeka na baraka za uchezaji waliobarikiwa
Wazungu muanze kutalii na huku there are best bar maids,receptionists and best cooks who know English,I assure you there will be no communication barrier
We have best clubs like Masai at Kahama,best hotel like buzwagi,Mongo hotel,Royal hotel,Nyumbani Pub and extra
Mimi nimeshawawahi Kwa kumwandikia barua rais wa dunia Donald Trump na rais wangu Dr.John Pombe Magufuli hivyo nitawananga kuwarekebisha
Whatch Rango move to see my life,i live like Rango
Instagram:kaukwaju