Wazungu kwanini mmekuwa mkibagua mikoa ya kuishi na ya kufanyia Utalii(Whites you seggregate regions for tourism,why?)

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
448
Reaction score
409
Wazungu nawashangaa sana kuna mikoa na wilaya hamfiki kabisa wakati ndiyo inawaongezea kipato ktk nchi zenu mfano mikoa inayotoa samaki kama Mwanza na Kigoma na mikoa na wilaya mnazovuna madini kama Geita,Mara,Kahama na Kagera

Mkisema hakuna vivutio mbona Singida na Tanga mpo Kwa wingi kwanini isiwe mikoa hiyo ili na sisi tupate fedha za kigeni,mahotel yajae tuuze Chakula na tujifunze utamaduni wenu na nyie mjifunze wetu

Mnajazana sehemu Mona kupiga Picha na sungura au swala au kupiga Picha na mlima mnaacha kujazana sehemu mnapoingiz Kwa wingi fedha na Mali zenye thamani kama madini,

Kwanini migodi yenu isijenge hotel za kitalii mkaweka mabwawa ya kuogelea kama mliyojenfa mbugani

Huku Luna wasichana wazuri wanaojua kucheza ngoma za asili Kwa kuzungusha nyonga na kukata viuno kwanini migodi isiwawezeshe wakawa na vikundi kisha tukawa na matamasha kama Zanzibar,kwani Shilole si mnyamwezi viuno si kajifunzia hukuhuku Leo watalii wanajaa kuona viuno vyake,he wapo wangapi wanaozeeka na baraka za uchezaji waliobarikiwa

Wazungu muanze kutalii na huku there are best bar maids,receptionists and best cooks who know English,I assure you there will be no communication barrier

We have best clubs like Masai at Kahama,best hotel like buzwagi,Mongo hotel,Royal hotel,Nyumbani Pub and extra

Mimi nimeshawawahi Kwa kumwandikia barua rais wa dunia Donald Trump na rais wangu Dr.John Pombe Magufuli hivyo nitawananga kuwarekebisha

Whatch Rango move to see my life,i live like Rango

Instagram:kaukwaju
 
Boss kabla haujafanya Tourism lazima uwe na purpose. kuna Cultural, educatiom, medical, adventure, Leisure, Religious, business, sport na nyingine. sasa kila mtu ana sababu yake ya kusafiri na huenda ataangukia katika aina hizo nilizotaja za tourism. mtu hawezi toka huko alikotoka aje kuangalia mashimo ya Geita gold mining, au hawezi toka huko kwao kuja TZ kuangalia kiwanda cha minofu ya sangara mwanza. soo lazima awe na sababu, kuna watu wanakuja kuangalia Wanyama, milima na mabonde, maporomoko ya maji, crater, wanyama, wanakuja kwenye michezo, matibabu, au sehemu ya masomo yao, kufanya biashara, mila na desturi na vingine. ivyo basi jua kila safari ina sababu.
 
Tours agenta wana influence sana ni wapi mtalii aende
 
Kwani Wazungu wapo humu

By the way nimependa kingereza chako
 
Mfano Chato waende kufanya nini!!
Chuki yako dhidi ya chato itakutafuna

Chato kwa sehemu kubwa imepakana na ziwa victoria kisiwa cha utalii rubondo kipo chato

Chato ipo karibu sana na pori la kimisi

Pia ni rahisi kufanya biashara ya mboga hususani dagaa na samaki baina ya Tz Rwanda Burundi na congo

Chato ipo karibu na maeneo yenye madini mfano geita masumbwe kahama nk

Nyama mnayokula huko daslam inatokea chato na maeneo ya karibia na chato

Halafu unaropoka tu eti chato kuna nini!!!!!

Acheni wivu wa kijinga sehemu huijui nyamaza
 
Mbona M
Mbona Mwanzq wana SAA nane Island kisiwa cha SAA nane, Pia Mara ya kwanza kufika Mwanza nilivutiwa sana na milima nikawa najiuliza watu wanandaje na kuishi huko je watoto hAwawezi kuporomoka na kwenye migodi ulishafika ukashangaa jinsi ilivyojengwa!
 
hili povu lote la nn!
 
Kwani Wazungu wapo humu

By the way nimependa kingereza chako
Nawajua Wazungu zaidi hata ya wanaokaa nao huko kwao,kifupi Wazungu wanakipawa cha kujua lugha zote duniani mpaka za makabila,ila Mimi Nina bahati ya kuongea lugha ambayo haijagunduliwa bado,kuhusu kuwemo humu haijawai tokea ukagusa maslai ya Wazungu wasijue ujumbe wameupata for sure,ila nawaheshimu bcz hawabagui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…