Wazungu wa Diamond Platnumz ni wa kampuni gani?

eddy

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2007
Posts
16,054
Reaction score
11,568
Katika wimbo wa Baba Tiffah aliofanya collabo na P square, wimbo unaoitwa "Kidogo" naona shooting inafanywa na wazungu, niwazungu wa kampuni gani hao? ina maana Baba T ana maproducer wazungu? Pia naona kuna madensa wakizungu mmoja nimemwona pia katika wimbo wa Kamatia chini wa Eddy Kenzo. Au ndio timu ya Mama Tiffah.
 
Dah unafeli mwnangu!! Hujui kuwa video imetengenezwa south na kampuni ya kisaouth (Godfather productions) na hao wazungu ni wafanya kazi tu... Hao madencer nao wako kibaruani tu hapo..

Alafu umesema wimbo wa "Kamatia Chini wa Eddy Kenzo"

[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Katika wimbo wa Baba Tiffah aliofanya collabo na P square, wimbo unaoitwa "Kidogo" naona shooting inafanywa na wazungu, niwazungu wa kampuni gani hao? ina maana Baba T ana maproducer wazungu? Pia naona kuna madensa wakizungu mmoja nimemwona pia katika wimbo wa Kamatia chini wa Eddy Kenzo. Au ndio timu ya Mama Tiffah.
Duuuuuuuuu wagonjwa n weng ktaa[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Diamond huwa ana outsource production firm
 
Katika wimbo wa Baba Tiffah aliofanya collabo na P square, wimbo unaoitwa "Kidogo" naona shooting inafanywa na wazungu, niwazungu wa kampuni gani hao? ina maana Baba T ana maproducer wazungu? Pia naona kuna madensa wakizungu mmoja nimemwona pia katika wimbo wa Kamatia chini wa Eddy Kenzo. Au ndio timu ya Mama Tiffah.
Ni wa kampuni ya Kizungu Muungwana.
 
jamaa kauliza tu,BTW kuuliza sio ujinga,wewe unayejua ni jukumu lako kumuelimisha yule asiyejua huo ndio uungwana.
Na anaejitia kujua afu anamcheka aliyeuliza bila kumwelewesha mwenye kutaka kujua ndiye anayeonekana mjinga zaidi
 
Back
Top Bottom