Duuuuuuuuu wagonjwa n weng ktaa[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Katika wimbo wa Baba Tiffah aliofanya collabo na P square, wimbo unaoitwa "Kidogo" naona shooting inafanywa na wazungu, niwazungu wa kampuni gani hao? ina maana Baba T ana maproducer wazungu? Pia naona kuna madensa wakizungu mmoja nimemwona pia katika wimbo wa Kamatia chini wa Eddy Kenzo. Au ndio timu ya Mama Tiffah.
jamaa kauliza tu,BTW kuuliza sio ujinga,wewe unayejua ni jukumu lako kumuelimisha yule asiyejua huo ndio uungwana.Duuuuuuuuu wagonjwa n weng ktaa[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Ni wa kampuni ya Kizungu Muungwana.Katika wimbo wa Baba Tiffah aliofanya collabo na P square, wimbo unaoitwa "Kidogo" naona shooting inafanywa na wazungu, niwazungu wa kampuni gani hao? ina maana Baba T ana maproducer wazungu? Pia naona kuna madensa wakizungu mmoja nimemwona pia katika wimbo wa Kamatia chini wa Eddy Kenzo. Au ndio timu ya Mama Tiffah.
Na anaejitia kujua afu anamcheka aliyeuliza bila kumwelewesha mwenye kutaka kujua ndiye anayeonekana mjinga zaidijamaa kauliza tu,BTW kuuliza sio ujinga,wewe unayejua ni jukumu lako kumuelimisha yule asiyejua huo ndio uungwana.