Ni kweli mababu zetu, ndugu zetu tumepoteza sana kwa hawa leo tuna sema wana demekrosia wana haki za binafamu wana umoja wa mataifa.
Afrika ilikuwa na historia yake ila kwa wale wana siasa na zani itakuwa uwanja wenu.
Afrika kuna uchafu ulifanyika hata walio kwenda kwa wazungu japo vizazi vipo ila huko kwa asia sitaki kusema dini itatumika sana
Tujadili wana zengo
View attachment 1672017
View attachment 1672018
Vipi hiyo avatarHuwa naumia basi tu, siipend ngoz nyeupe na wanaoshobokea dini zao
wanasema eti hawahusiki na makosa ya mababu zao wala waliofanyiwa hayo mambo hawapo hivyo hakuna wa kuombwa msamaha wala wa kuomba msamahaHivi hawa wapuuuzi walishawahi hata kutuomba msamaha?
Huwa naumia basi tu, siipend ngoz nyeupe na wanaoshobokea dini zao
Ni kweli mababu zetu, ndugu zetu tumepoteza sana kwa hawa leo tuna sema wana demekrosia wana haki za binafamu wana umoja wa mataifa.
Afrika ilikuwa na historia yake ila kwa wale wana siasa na zani itakuwa uwanja wenu.
Afrika kuna uchafu ulifanyika hata walio kwenda kwa wazungu japo vizazi vipo ila huko kwa asia sitaki kusema dini itatumika sana
Tujadili wana zengo
View attachment 1672017
View attachment 1672018
MhNi kweli mababu zetu, ndugu zetu tumepoteza sana kwa hawa leo tuna sema wana demekrosia wana haki za binafamu wana umoja wa mataifa.
Afrika ilikuwa na historia yake ila kwa wale wana siasa na zani itakuwa uwanja wenu.
Afrika kuna uchafu ulifanyika hata walio kwenda kwa wazungu japo vizazi vipo ila huko kwa asia sitaki kusema dini itatumika sana
Tujadili wana zengo
View attachment 1672017
View attachment 1672018
Hapana si vile. Waingereza hawakutumia "garotte". Pia Waingereza hawakuingia Ufilipino. Garotte (kifaa tunachoona kwenye picha) ilitumiwa Ufaransa, zaidi Hispania na Ureno. Haikuwa kifaa kwa ajili ya koloni hasa, ilikuwa kifaa walichotumiwa nyumbani kwa adhabu ya mauti wakakileta hadi makoloni yao. Ambako walijisikia huru zaidi kukitumia kuliko nyumbani.Hiyo picha ni Philippines (Ufilipino) wakati wa utawala wa Waingereza huko. Ni moja ya njia katili zilizotumika kama ilivyokua njia zingine za uuaji kwenye makoloni ya Wareno, Wajerumani, Wafaransa na Wabelgiji.
Huwapendi lakini unashobokea electronic appliances zao, hizo ni akili au matope?Huwa naumia basi tu, siipend ngoz nyeupe na wanaoshobokea dini zao