mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,554
- 4,271
Aah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni mzungu njoo tumix hizo colourWazima humu nyie watu,,,
Kama kichwa cha habari kilivyoandikwa hapo juu.
Nimetokea kuvutiwa na wazungu Sanaa labda hii ni kutokana na maigizo yao nayoyaangalia sana
Kubwa zaidi natamani kuchanganya rangi nipate watoto wa kizungu machotara wenye manywele
Kama kuna anaejua namna ya kuwapata hao wazungu anidokeze au kama unae unipe
Namtaka mzungu wa umri miaka 23-48
NB:
Sitaki mababu wala sitaki mali nataka ni mix color [emoji23][emoji23][emoji23]
Sina hela ya kulipia dating sites labdaa kama kuna za bure yaani free dating sites ndo unielekeze [emoji1787][emoji1787]
Kuna mtu atasema nina njaa sina nimeshibaa nawapenda tu hao watu
Pia usiulize wala usinambie nibaki na mbongo simtaki
[mention]mamamzungu [/mention] + baba mzungu
Babamzungu anahitajika kama kuna connection huko
Unahitaji msaada wa kisaikolojia. Umeishi na kukua na watu weusi, then unavutiwa na watu weupe, hauoni kuwa hapo unakuwa unashida kwenye akili yako.
... it's you who need a sanity check! ... this lady just wants to broaden our genetic pool! 😅Sent using Jamii Forums mobile app
Unahitaji msaada wa kisaikolojia. Umeishi na kukua na watu weusi, then unavutiwa na watu weupe, hauoni kuwa hapo unakuwa unashida kwenye akili yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nna mwanangu mzungu sema yuko 20s nikupe connection
Wanathimbaaa, mlete MDHUNGU
Ubaya wazungu wanazaa kwa mipango, wanafikiri kabla ya kuzaa sio kama sisi wasukuma tunafikiri baada ya kuzaa.
Sema ukimuotea unapata chotara lenye akili na rangi ya baba ni guarantee
Katika watanzania kumi, wanne ni wehu!
mimi ni mzungu njoo tumix hizo colour
Dunia haishi kulingana na unavyo hitaji wewe,sawa sawa na Mhindi aoe Mwafrika.Pathetic… kila mtu na uhitaji wake wewe unavohitaji mwanamke mweupe with big matako sisi vimbaumbau unamuachia nani.. sisi weusi unamuachia nani
Kila mtu na mtue bwanaaa wewe
Fika bunju kila Simba wakiwa na mazoezi.Wazima humu nyie watu,,,
Kama kichwa cha habari kilivyoandikwa hapo juu.
Nimetokea kuvutiwa na wazungu Sanaa labda hii ni kutokana na maigizo yao nayoyaangalia sana
Kubwa zaidi natamani kuchanganya rangi nipate watoto wa kizungu machotara wenye manywele
Kama kuna anaejua namna ya kuwapata hao wazungu anidokeze au kama unae unipe
Namtaka mzungu wa umri miaka 23-48
NB:
Sitaki mababu wala sitaki mali nataka ni mix color [emoji23][emoji23][emoji23]
Sina hela ya kulipia dating sites labdaa kama kuna za bure yaani free dating sites ndo unielekeze [emoji1787][emoji1787]
Kuna mtu atasema nina njaa sina nimeshibaa nawapenda tu hao watu
Pia usiulize wala usinambie nibaki na mbongo simtaki
[mention]mamamzungu [/mention] + baba mzungu
Babamzungu anahitajika kama kuna connection huko
Sahii kabisa,Wazungu ni wakawaida sana ukikutana nao kwa macho.
Zile movies unazoziona ni sababu wanatumia camera kali sana za bei mbaya, wanaita Cinema Cameras.
Ila macho kwa macho mimi nitamchagua lucy wa mbagala kati ya angelina jolie.