Wazungu wamenivutia zaidi

Mimi ni mzungu njoo tumix hizo colour
 
Unahitaji msaada wa kisaikolojia. Umeishi na kukua na watu weusi, then unavutiwa na watu weupe, hauoni kuwa hapo unakuwa unashida kwenye akili yako.

Sent using Jamii Forums mobile app

Pathetic… kila mtu na uhitaji wake wewe unavohitaji mwanamke mweupe with big matako sisi vimbaumbau unamuachia nani.. sisi weusi unamuachia nani

Kila mtu na mtue bwanaaa wewe
 
Ubaya wazungu wanazaa kwa mipango, wanafikiri kabla ya kuzaa sio kama sisi wasukuma tunafikiri baada ya kuzaa.

Sema ukimuotea unapata chotara lenye akili na rangi ya baba ni guarantee

Na mimi ni cheusi mangara nitamuoteaa eeh[emoji23]
 
Pathetic… kila mtu na uhitaji wake wewe unavohitaji mwanamke mweupe with big matako sisi vimbaumbau unamuachia nani.. sisi weusi unamuachia nani

Kila mtu na mtue bwanaaa wewe
Dunia haishi kulingana na unavyo hitaji wewe,sawa sawa na Mhindi aoe Mwafrika.
 
Fika bunju kila Simba wakiwa na mazoezi.
Mzungu yupo pale
 
Wazungu ni wakawaida sana ukikutana nao kwa macho.
Zile movies unazoziona ni sababu wanatumia camera kali sana za bei mbaya, wanaita Cinema Cameras.

Ila macho kwa macho mimi nitamchagua lucy wa mbagala kati ya angelina jolie.
Sahii kabisa,
Kwa waliotembelea ulaya watathibitisha hili, wazungu weng ngozi zao mbaya Sana.

Kama vitoto vya nguruwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…