Wazungu wamenivutia zaidi

Me wazungu ninao wengi,fanya jitihada unitafute kisha 2pange miadi tukutane uwanjani nikupatie wazungu
 
Sahii kabisa,
Kwa waliotembelea ulaya watathibitisha hili, wazungu weng ngozi zao mbaya Sana.

Kama vitoto vya nguruwe
Sahihi kabisa, na ukiachana na camera kali wale mastaa wakubwa wanatumia vipodozi vikali na makeup artist wabobezi just kutengeneza ngozi kwa ajili ya shooting na kuwa mbele ya camera.
Ila ukiwaaona nje ya hapo ngozi zao zinakuwa sio kabisa.
 
That's right na pia ukiacha camera kali wanakuwaga na professional makeup artists kwa ajili ya kutengeneza ngozi, na ndio maana mara nyingi ukiwaona kwenye movie ile ngozi yao nyeupe kupitiliza inakuwa kama imefifia hivi.
Ukiongeza na lighting, filters na camera bei mbaya basi Hailee Steinfeld anaonekana bonge la angel.

Niliona picha ya hailee steinfeld aliyopiga kwa low quality camera nikamuona wa kawaida sana ni kama wale wazungu wanaooneka mitaani tu. ule urembo wake unaooneka kwenye movie ya bumblebee au series ya hawkeye wote umepotea.

Nikasema don't judge a girl by her high budget blockbuster movies.
 
Wazungu ni wakawaida sana ukikutana nao kwa macho.
Zile movies unazoziona ni sababu wanatumia camera kali sana za bei mbaya, wanaita Cinema Cameras.

Ila macho kwa macho mimi nitamchagua lucy wa mbagala kati ya angelina jolie.

[emoji3][emoji3][emoji3] sijasema kwamba ni wazuri kuzidi waafrica

Wana roho nyeupe kama ndio ni ndio kama sio ni sio

Tofauti na Kaka zangu wa Jangwani kwenu nyeupe ni nyeusi
 
Sahii kabisa,
Kwa waliotembelea ulaya watathibitisha hili, wazungu weng ngozi zao mbaya Sana.

Kama vitoto vya nguruwe

Wivu tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nileteeni mthungu mie
 

[emoji23][emoji23][emoji23]

Nyie mimi sijasema kwamba ni wazuri nimesema nawapenda napenda ni mix color suala la ubaya au uzuri hata halinishtui

Kama kuna mbaya basi kuna mzuri wake huwezi kusema wazungu wote wana ngozi mbaya ama wabaya
 
Sahihi kabisa, na ukiachana na camera kali wale mastaa wakubwa wanatumia vipodozi vikali na makeup artist wabobezi just kutengeneza ngozi kwa ajili ya shooting na kuwa mbele ya camera.
Ila ukiwaaona nje ya hapo ngozi zao zinakuwa sio kabisa.

Maneno ya mkosaji tu hayo..

Hata sisi wanatuona hivyo hivyo kama wewe unavyowaona wenzio
 
You are entitled to your own choice, ila nahisi una slavery mentality inayotusumbua waafrika wengi Ya kuhisi ngozi nyeupe ni bora kuliko sisi.

Najiuliza majority of people from other races hazitaki kuoa au kuolewa na waafrika, kwanini ni sisi waafrika Wengi tunashobokea Kuoa au kuolewa na other races?

Bufa aliwahi sema mzungu akioa/akiolewa na mwafrika ame-downgrade, wakati mwafrika akioa au akiolewa na mzungu ame-upgrade mamamzungu
 
Nitawapatia wapi sasa[emoji23]
Unapotaka kitu unakifuata,wafuate walipo....mahoteli...sehemu za starehe zile high classic na maeneo ya utalii.Anzisha urafiki then mtaafikiana lengo lako
 

Mbona umekazania sana mambo ya uzuri na ubaya

Mbona hamsemi kuna wabingo wanaume wanajichubua na kujipaka make-up ili waonekane wazuri

Mimi sijasema nawataka coz ni wazuri

Nileteeni mthungu nasema
 
Ubaya wazungu wanazaa kwa mipango, wanafikiri kabla ya kuzaa sio kama sisi wasukuma tunafikiri baada ya kuzaa.

Sema ukimuotea unapata chotara lenye akili na rangi ya baba ni guarantee
Aisee umeongea jambo kubwa sana kwa sisi Wasukuma bado tunaamini utajiri wa mtu ni kuwa na watoto wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…