Mchawi wetu wa kwanza ni sisi wenyewe, viongozi wetu ndio wanafanya sisi tuibiwe.
Viongozi kwenye deals zoote wao wanaweka maslahi yao mwanzo kisha nchi itafata, haijalishi taifa litapoteza nini, wao wakipata inatosha.
Hayo mataifa mengine sio kwamba viongozi hawapigi, ika taifa liko mbele, kwanza taifa lioate kisha yeye ndio apige kiasi kidogo.