Sangomwile
JF-Expert Member
- Aug 17, 2012
- 3,211
- 1,059
Huyu si Mzungu.... labda ni Muhindi mwekundu
KOMENI kuuza bidahaa FEKI
kama ni hivyo basi na Apple waje haraka.....tunashindwa kuheshimiana huku mjini.........
Huo Msako ufike mpaka mikoani, zipo simu nyingi sana feki. Saaafi sana Samsung, safisha simu zote za kichina takataka hizo. Kama anavyosema Preta siku hizi hakuna heshima bidhaa feki zimejaa madukani
Kwa nini wanazichukua tayari ziko sokoni mie naona waanze kuzichukua kuanzia air port/bandarini wakati zinaingia kama wameamua wafanye kazi ya TBS effectively.
Kwa nini wanazichukua tayari ziko sokoni mie naona waanze kuzichukua kuanzia air port/bandarini wakati zinaingia kama wameamua wafanye kazi ya TBS effectively.
kama ni hivyo basi na Apple waje haraka.....tunashindwa kuheshimiana huku mjini.........
Wizi wa mchana mchana hapo matapeli wa kizungu wameungana na wakitz kuiba. Samsung ni wakorea sio wazungu ningetegemea sura za kichinchina hapo. wanatakiwa wakamate vitu huko vinakotoka sio vimeshasafiri na kufika dukani na nyie wafanyabiashara mkome kutuchakachua.
si kuna mamlaka husika zinazo chunguza bidhaa feki hapa nchini? Kwa nn haya yatokee? Yan hii serikali ni majanga kabisa aifai
Hii ni aibu kwa taifa, yaani nchi iachilie bidhaa feki zinazovuruga biashara ya makampuni hadi waje wenyewe kuchukua hatua!Kwa nini wanazichukua tayari ziko sokoni mie naona waanze kuzichukua kuanzia air port/bandarini wakati zinaingia kama wameamua wafanye kazi ya TBS effectively.