Adolf Hitler Jr
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 340
- 263
Unaangaka sana jobless
Hamna cha mzungu wala nini. Naskia walikuwa wanaadhimisha siku ya masuala ya afya ya wanawake. Mbinu waliyoitumia naipa NO kubwa. Huu upuuzi siwezi ukubali, yaani waliamka asubuhi wakaenda kazini kuvalia nguo za kike? Wanafanana na yale mascare crow ya kuzuia uvamizi wa wanyama mashambani.Tanzanians stop bullshit here this is just a one day occasion Mzungu ameingilia wapi here?
Mtakuja liwagwa matakoni na hiyo migichwa yenu isiyo na akiliTanzanians stop bullshit here this is just a one day occasion Mzungu ameingilia wapi here?
Aibu kubwa sana, Baba wa familia kuvalishwa nguo ya kike.Mkenya anapenda Muzungu kuliko hata Babake!
Hamna cha mzungu wala nini. Naskia walikuwa wanaadhimisha siku ya masuala ya afya ya wanawake. Mbinu waliyoitumia naipa NO kubwa. Huu upuuzi siwezi ukubali, yaani waliamka asubuhi wakaenda kazini kuvalia nguo za kike? Wanafanana na yale mascare crow ya kuzuia uvamizi wa wanyama mashambani.
Naona wajifunza ku kufungua thread na weweHii ilifanywa kusherekea wiki ya huduma kwa wateja. View attachment 887197View attachment 887200View attachment 887201View attachment 887203View attachment 887204View attachment 887205
My take :
Hawa majirani zetu yaelekea kwao lolote asemalo mzungu ni jambo jemaView attachment 887209View attachment 887208.
Wewe unapenda ccm hta kuliko uwepo wako..hhhhh!!! π π πMkenya anapenda Muzungu kuliko hata Babake!
Endeleeni kununua dreamliner namadwani ya wakenya hamuyaweziDuh!
Lahaula huku sio ndio kuiga tabia za kishoga huku.