Kwa hiyo mulattoes wenye white (non negroid feature) skin na pua nene na midomo minene ni weusi au siyo?
Manake Brazil hawa wanajulikana kama weupe lakini Marekani wanajulikana kama weusi.Na ma aborigine wa Australia na Papua New Guinea nao ni weusi? Je wahindi weusi?
Calm down people!! 🙂
Either kazini au sehemu mbali mbali...baada ya kukaa nao,kusoma nao na kufanya kazi nao i they wont sieze to come up with some interesting and no so interesting things. hebu tupeane mbinu za kudeal na hawa watu.
Mimi naweza kusema kuwa nakaribia kuwa graduate wa hawa binadamu so you got qns plse ask