Bubu Msemaovyo
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 4,120
- 3,468
Mzee Makamba siyo utelezi ni kusudi kabisa kwasababu kama ni utelezi mbona kuna kauli uliirekebisha papo hapo.
" Wazuri hawafi mapema, ndiyo maana Kikwete yupo, Kinana yupo"
MADA
" WAZURI HAWAFI MAPEMA"
Kumbe hawa waliokufa walikufa mapema yaani kabla ya muda wao. Kama ilikuwa ni kwasababu ya emotion angerekebisha kauli yake yeye mwenyewe lakini aliamua liwalo na liwe. Hii kitu imekaa vibaya.