Bubu Msemaovyo
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 4,120
- 3,468
Maana yake yesu na muhamadi ni wahuni tu maana wote awakufikia uzeeMzee Makamba siyo utelezi ni kusudi kabisa kwasababu kama ni utelezi mbona kuna kauli uliirekebisha papo hapo.
" Wazuri hawafi mapema, ndiyo maana Kikwete yupo, Kinana yupo"
MADA
" WAZURI HAWAFI MAPEMA"
Kumbe hawa waliokufa walikufa mapema yaani kabla ya muda wao. Kama ilikuwa ni kwasababu ya emotion angerekebisha kauli yake yeye mwenyewe lakini aliamua liwalo na liwe. Hii kitu imekaa vibaya.
Athari za kulamba viatu, matokeo yake anaonge lolote kumfurahisha mfalmeMzee Makamba amejichanganya kwenye huo usemi!
Siku zote wazuri/wema ndiyo hufa mapema!
Ogopa kuhusika kutoa uhai wa mtu utakuja ropoka vyote swala la muda Tu...Mzee Makamba siyo utelezi ni kusudi kabisa kwasababu kama ni utelezi mbona kuna kauli uliirekebisha papo hapo.