Mlima meru
Senior Member
- Dec 30, 2012
- 114
- 20
Mimi napenda sana nchi yangu na hata watu wa matifa ninaokutanana nao wanakiri hilo
KERO YANGU NI VITUO VYA MAFUTA
hivi? Hakuna utaratibu wa kusajili Vituo VYA MAFUTA?
unakuta mjini Kati eneo la km 2 Lina vituo nane na pengine zaidi...vya nini?
Hii nikumaliza eneo Muhimu la uekezaji mwingine.....
sidhani Kama I nahitaji kuchukua degree ili kuliona hilo...kwa mawazo yangu vituo hivyo ni kero
chukulia Arusha, ukitoka mji ni Kati hadi majengo ya chini (tanapa). Eneo la Kama km3 ..vituo vya MAFUTA vinaweza kufika kumi.....na wasivyo na Aibu bado vinajengwa....
nimetembea Mikoa mingine kama tabora, shinyanga nk kule naona hawana vituo vya kutosha.....kwa mawazo yangu nafikiri ....wakinyimwa lesseni watapanua uigo....na kwenda huko.
Binafsi naona ni hatari kwani vituo ni Vingi vimesongana na nyumba za watu...zingine za makazi kabisa...mfano njia ya kutoka arusha Kwenda tengeru (moshi)
Arusha nimechukulia Kama mfano ila Miji mingi inakuwa na vituo vya mafuta haviendi kabisa na mipango au ukubwa wa mji......
Hivi? Hakuna formula ya kujua wastani wa vituo vya MAFUTA kwa eneo la mji ni?
kama hamuwezi kutatua kero hii, ni bora musajilini wachache wenye mtaji....wajenge vituo vikubwa.....vichache.
napatikana Kwenye BBM 27821355 ukinihitaji