Kitabu kipya cha Benki ya Dunia Ukurasa wa 46, kimeitaja Tanzania kama moja ya nchi yenye watu masikini milino 28, kimeeleza kuwa nchi tano za afrika ndio zinabeba nusu ya masikini walioko kusini mwa jagngwa la Sahara
Nchi hizo ni
Nigeria (79 million)
Democratic Republic of Congo (60 million)
Tanzania (28 million)
Ethiopia (26 million)
Madagascar (20 million)
View attachment 1605300
Kama kawaida yao wamesema wamezingatia kiwango cha hela kwa kutumia PPP
Pia hiyo Poverty map ni kwa data zilizokusanya 2017
View attachment 1605304
View attachment 1605316
Alafu tunajengea marais wastaafu mahekalu huku mamilioni ya wanaanchi wa kawaida wanaishi katika lundo la umasikini.
Hii hutasikia Akina Polepole wanasema. Unfortunately hata waandishi wetu wa Habari hawatauliza... Ila kwenye mideal income kelele zake haziishi. Hawajui hata Zambia na Zimbabwe waliingia huko Siku nyingi. Ndiyo maana Mkapa (RIP) alitaka $3000.Dona kantri!!
Tupo uchumi wa kati au wa katikati?Kitabu kipya cha Benki ya Dunia Ukurasa wa 46, kimeitaja Tanzania kama moja ya nchi yenye watu masikini milino 28, kimeeleza kuwa nchi tano za afrika ndio zinabeba nusu ya masikini walioko kusini mwa jagngwa la Sahara
Nchi hizo ni
Nigeria (79 million)
Democratic Republic of Congo (60 million)
Tanzania (28 million)
Ethiopia (26 million)
Madagascar (20 million)
View attachment 1605300
Kama kawaida yao wamesema wamezingatia kiwango cha hela kwa kutumia PPP
Pia hiyo Poverty map ni kwa data zilizokusanya 2017
View attachment 1605304
View attachment 1605316
Kwani hao mabeberu hawajui kama tanzania ipo kwenye uchumi wa kati ?Kitabu kipya cha Benki ya Dunia Ukurasa wa 46, kimeitaja Tanzania kama moja ya nchi yenye watu masikini milino 28, kimeeleza kuwa nchi tano za afrika ndio zinabeba nusu ya masikini walioko kusini mwa jagngwa la Sahara
Nchi hizo ni
Nigeria (79 million)
Democratic Republic of Congo (60 million)
Tanzania (28 million)
Ethiopia (26 million)
Madagascar (20 million)
View attachment 1605300
Kama kawaida yao wamesema wamezingatia kiwango cha hela kwa kutumia PPP
Pia hiyo Poverty map ni kwa data zilizokusanya 2017
View attachment 1605304
View attachment 1605316
Wa kati kati lakini chini chini 🤣😅🤣😅Tupo uchumi wa kati au wa katikati?
Kitabu kipya cha Benki ya Dunia Ukurasa wa 46, kimeitaja Tanzania kama moja ya nchi yenye watu masikini milino 28, kimeeleza kuwa nchi tano za afrika ndio zinabeba nusu ya masikini walioko kusini mwa jagngwa la Sahara
Nchi hizo ni
Nigeria (79 million)
Democratic Republic of Congo (60 million)
Tanzania (28 million)
Ethiopia (26 million)
Madagascar (20 million)
View attachment 1605300
Kama kawaida yao wamesema wamezingatia kiwango cha hela kwa kutumia PPP
Pia hiyo Poverty map ni kwa data zilizokusanya 2017
View attachment 1605304
View attachment 1605316
Cc MATAGAKitabu kipya cha Benki ya Dunia Ukurasa wa 46, kimeitaja Tanzania kama moja ya nchi yenye watu masikini milino 28, kimeeleza kuwa nchi tano za afrika ndio zinabeba nusu ya masikini walioko kusini mwa jagngwa la Sahara
Nchi hizo ni
Nigeria (79 million)
Democratic Republic of Congo (60 million)
Tanzania (28 million)
Ethiopia (26 million)
Madagascar (20 million)
View attachment 1605300
Kama kawaida yao wamesema wamezingatia kiwango cha hela kwa kutumia PPP
Pia hiyo Poverty map ni kwa data zilizokusanya 2017
View attachment 1605304
View attachment 1605316
Tatizo watanzania tunapiga mlo mmoja na robo kwa siku, angalau tungepiga miwili! Udumavu wetu wa miili unatokana na lishe duni.Jamani nyie mnaotmebeq huku na kule,,givi maisha ya kawaida ya Mtanzania ukilinganisha na ya Mganda,Rwanda,Zambia, Malawi, Msumbiji..wapi kunaunafuu wa umasikini?
Hizi takwimu za kibeberu bhana....mbona sisi tuko swadacta kabisaKitabu kipya cha Benki ya Dunia Ukurasa wa 46, kimeitaja Tanzania kama moja ya nchi yenye watu masikini milino 28, kimeeleza kuwa nchi tano za afrika ndio zinabeba nusu ya masikini walioko kusini mwa jagngwa la Sahara
Nchi hizo ni
Nigeria (79 million)
Democratic Republic of Congo (60 million)
Tanzania (28 million)
Ethiopia (26 million)
Madagascar (20 million)
View attachment 1605300
Kama kawaida yao wamesema wamezingatia kiwango cha hela kwa kutumia PPP
Pia hiyo Poverty map ni kwa data zilizokusanya 2017
View attachment 1605304
View attachment 1605316
Kuna watu ni wabishi Tanzania hapa ukiwaeleza haya1. Population ya Tanzania ni approximately 60,000,000...
2. Kwa kesi hii, maana yake 28,000,000 wanaishi katika umasikini wa kutupwa (abject poverty)...
3. I agree. Kwa sababu ukitembea maeneo ya vijijini, hali ya maisha ya watu bado ni mbaya sana..
4. Indicator ya kwanza inayokuonesha kuwa watu wako ktk hali ya umasikini wa hatari, ni makazi (nyumba) wanazoishi...
5. Kwenye ishu ya makazi (nyumba), unaweza ukifika kwenye kijiji chenye kaya 2,000, ni kaya zisizozidi 50 pekee kijiji kizima ndiyo wanaishi ingalau kwenye nyumba iliyoezekwa kwa bati huku kaya 1,950 zikiwa zinaishi kwenye makaazi (nyumba) duni zilizoezekwa kwa nyasi na udongo juu maàrufu kama "tembe" ambazo ni hatarishi kupita maelezo...!!
6. Kwa hakika kabisa, huwezi kutumia mabilioni ya fedha kujengea nyumba za kifahari marais wastaafu, Rais wa nchi kujijengea uwanja mkubwa wa ndege na michezo kijijiji kwako huku wananchi wako wakiwa wanaishi maisha ya umasikini uliopindukia kama hawa 28,000,000...!!
KWA HAKIKA watu tunahitaji FREEDOM, JUSTICE & PEOPLES' CENTERED DEVELOPMENT..
Hii ndiyo maana ya uchaguzi huu mkuu wa 2020.!!!
Asante umemaliza1. Population ya Tanzania ni approximately 60,000,000...