WBO yamvua UBINGWA MAYWEATHER

WBO yamvua UBINGWA MAYWEATHER

autorun255

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2013
Posts
1,105
Reaction score
364
WBO imemvua Money Maywesrher ubingwa alioshinda katika pambano lake dhidi ya Pacquiao.
Baada ya kuonekana sheria hazikufuatwa.

The boxing organisation does not allow boxers to hold world titles in multiple weight classes at the same time. After outclassing Pacquiao, Mayweather holds titles from the WBO, the World Boxing Council and the World Boxing Association.

Source:
WBO strips Mayweather of title he won vs Pacquiao | The Jakarta Post

Swali:
Je WBO hawakuliona hili kabla ya pambano lake. Wamesuburi hadi amepambana na kumvua ubingwa??!!!
 
Watu walishatengeneza hela na hata kwenye betting watu washalia leo ndio wanaleta hizo mbwembwe?
 
autorun255 mbona hapo kwenye kiingereza haijaandikwa sheria hazikufuatwa ishu sio pambano alishinda kwa hila ila ishu hapo imeandikwa kwanza hajalipa hela hadi mwisho wa kikomo cha kulipa na aliahidi kutoa mataji mengine aliyokuwa ameyashikilia ili mabondia wengine vijana wapiganie lakini hakufanya hivyo ndio maana wakamvua na kumpa mmarekani mwingine.
 
WBO imemvua Money Maywesrher ubingwa alioshinda katika pambano lake dhidi ya Pacquiao.
Baada ya kuonekana sheria hazikufuatwa.

The boxing organisation does not allow boxers to hold world titles in multiple weight classes at the same time. After outclassing Pacquiao, Mayweather holds titles from the WBO, the World Boxing Council and the World Boxing Association.

Source:
WBO strips Mayweather of title he won vs Pacquiao | The Jakarta Post

Swali:
Je WBO hawakuliona hili kabla ya pambano lake. Wamesuburi hadi amepambana na kumvua ubingwa??!!!

kisichobadilika Pacquiao alikula kichapo!!!
 
Pesa alizotunzwa zinarudi au ni zake?
 
Back
Top Bottom