Te Lavista
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 1,626
- 2,846
Bwana weeee mbona wanivunja mbavu jioni hiiOyaa toa jina la Rich tafadhali. Hao watoto wamejulikana kupitia Diamond.. Ila Rich tunamjua way back.. Futa hilo jina muweke yule jamaa yao mwengine Aliyeoza meno anaitwa Q Boy sijui
Hahahaha!!umeongea kwa hisia kweli!!!TehtehtehOyaa toa jina la Rich tafadhali. Hao watoto wamejulikana kupitia Diamond.. Ila Rich tunamjua way back.. Futa hilo jina muweke yule jamaa yao mwengine aliyeoza meno anaitwa Q Boy sijui
Hahaha nyundooo
Word...acha kutafuta kiki tafuta soko
Word...acha kutafuta kiki tafuta soko