WCB hawajaonekana kwenye Msiba wa Mkapa, nini tatizo?

IFRS

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2014
Posts
2,915
Reaction score
5,233
Leo jumatano ya tarehe 29 July 2020 watz tumemzika Rais mstaafu wa Awamu ya 3 Hayati BW Mkapa. Lakini wanamuziki kutoka Label ya WCB hawajaonekana kokote, either Masaki kwenye makazi ya Marehemu DSM, uwanja wa taifa kwenye kuaga mwili au hata kwenye mazishi Lupaso Mtwara.

Je, nini tatizo?
 
Wewe umeonekana? Au ndio yule aliyeemda kimwili tu mpaka askari waklazimisha kuangalia?
 
Kwani ule msiba ulikuwa roll call asiyekuwepo si Mtanzania?


😬😬

πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜¨πŸ˜¨πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜„
 
Tale alikuwepo kuwakilisha Familia ya WCB
 
hao ni vibaraka wa mabeberu weusi, na kwani mlezi wao makonda alikuwepo.
 
Kwani ni lazima wao kuwepo!!?? Ni kina nan kwa mkapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…