Wakristo Wana Nyimbo tosha za Msiba. Hawahitaji Bongo Fleva Msibani.Leo jumatano ya tarehe 29 July 2020 watz tumemzika rais mstaafu wa awamu ya 3 Hayati BW Mkapa.
Lakini wanamuziki kutoka Label ya WCB hawajaonekana kokote, either Masaki kwenye makazi ya Marehemu DSM, uwanja wa taifa kwenye kuaga mwili au hata kwenye mazishi Lupaso Mtwara.
Je nini tatizo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe umeonekana? Au ndio yule aliyeemda kimwili tu mpaka askari waklazimisha kuangalia?
Wange haribu msiba, hivi watu wangeacha hata kusikiliza hotuba ili wamuone mondi.
Hata Afande Sele hakuwepo.Mbona hata baba levo hakuwepo
Swali lako linalandana na zile shamra shamra za Dodoma wasanii kibao tuliwaona mpaka Baba Levo kusema walilundikana kama nyumbu sasa sijui waliitwa, wakasubiri na kwenye msiba waitwe? ila hata hapo Uhuru licha ya Mtwara sijui walifika wangapi , si lazima kuhudhuria japo ukilinganisha unafiki wa kukiimbia Chama wakati wa matukio ya furaha tuu si busara sana.Leo jumatano ya tarehe 29 July 2020 watz tumemzika Rais mstaafu wa Awamu ya 3 Hayati BW Mkapa. Lakini wanamuziki kutoka Label ya WCB hawajaonekana kokote, either Masaki kwenye makazi ya Marehemu DSM, uwanja wa taifa kwenye kuaga mwili au hata kwenye mazishi Lupaso Mtwara.
Je, nini tatizo?
Kwani lazima?Leo jumatano ya tarehe 29 July 2020 watz tumemzika Rais mstaafu wa Awamu ya 3 Hayati BW Mkapa. Lakini wanamuziki kutoka Label ya WCB hawajaonekana kokote, either Masaki kwenye makazi ya Marehemu DSM, uwanja wa taifa kwenye kuaga mwili au hata kwenye mazishi Lupaso Mtwara.
Je, nini tatizo?
Safi leo umeongea jambo la msingi.Kwani ule msiba ulikuwa roll call asiyekuwepo si Mtanzania?