WCB hawakoseagi kabisa wasanii wote pale wanajua wapo vizuri

WCB hawakoseagi kabisa wasanii wote pale wanajua wapo vizuri

Ray model

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2018
Posts
207
Reaction score
185
Sijui ni kwanini wcb wanachukua magenious wa muziki coz ukiangalia safu yote pale wanajua mziki


Nimeangalia list nzima pale hakuna mbovu hata mmoja

Nimeangalia

Diamond


Harmonize


Mbosso



Iamlavalava


Rayvan


Queen darling



Gigy money



Na wengine wote.

Kiufupi ni kuwa wcb imejaa watu wenye talent zao kuna watu humu wanadai wcb bado mimi nawaambia waachane na logo kubwa kama wcb


Ni wasanii gani hapa tz au team kiba wanaoweza kuwafikia wcb??


Jibu ni hapana kuna wasanii wengi sana wanajua mziki kama kina aslay, nandy, vanessa mdee, jux n.k ila wcb wanajua jamani khaaa unashindia mihogo halafu unawananga wcb kwamba hawajui mziki wakati huyo boss wenu sijui team yenu hata show ya milioni moja hapati wakati wenzenu wcb show ni milioni kumi panda juu.

Angalia mziki kwa sasa wasanii wanaotrend kwenye top huwez kosa kadhaa kutoka wcb

Siwapigii promo bt nawashangaa mtu anakuja na post eti wcb hamna wasanii wakati nyimbo zao umejaza kwenye simu

Wabongo bhana!!!!!!!!
 
Huyo Gigy Money ndio anaifanya WCB iwe juu
 
Write your reply...Kumbe gigy money yupo wcb?
 
Mtoa umekaa ki pembapemba avatar,maandishi duh

Sijui chakula ya wakubwa
 
huyu mleta mada amekaa kishoga shoga aisee..Mungu niepushie wanangu na hii fedhea hii hali inapoelekea sio kabisa
 
Hiyo avatar ni wewe?? Hayo ya WCB tutaongea baadae kidogo
 
Ila Queen darlin pale nimzigo tu mimi sijawahi kumuelewa kabisa.
 
Back
Top Bottom