youngdonats18
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 685
- 443
Ndugu unajua music market? Ngoja nikuambie kitu, mwezi wa kwanza mpaka wa tatu sio mzuri sana kibiashara ya muziki, almost biashara zote zinapata tabu kipindi hiki sio mziki tu, na kuachia nyimbo kuna uwekezaji kwenye suala la promotion. Kila kitu ni mahesabu labda ungetoa mifano ya wasanii waliotoa nyimbo kipindi hiki, ni wa kuhesabika.Ni swala ambalo liko wazi kwamba kwa sasa hakuna kokoro, wala kijuso kwny raman ya bongofleva, inaweza kuwa kweli kwamba diamond anasubiri game lipoe kwanza ndo awaruhusu vijana wake kutoa kazi ama vipi, maoni yenu wadau
Ndo hivo so WCB tu ata wasanii wengine kama Ali kiba anasubil kupoeNi swala ambalo liko wazi kwamba kwa sasa hakuna kokoro, wala kijuso kwny raman ya bongofleva, inaweza kuwa kweli kwamba diamond anasubiri game lipoe kwanza ndo awaruhusu vijana wake kutoa kazi ama vipi, maoni yenu wadau
Umeongea kitu cha msingi sana.Ndugu unajua music market? Ngoja nikuambie kitu, mwezi wa kwanza mpaka wa tatu sio mzuri sana kibiashara ya muziki, almost biashara zote zinapata tabu kipindi hiki sio mziki tu, na kuachia nyimbo kuna uwekezaji kwenye suala la promotion. Kila kitu ni mahesabu labda ungetoa mifano ya wasanii waliotoa nyimbo kipindi hiki, ni wa kuhesabika.
sio hiphop hii Joh Makin na ngoma yake hii mpyaGame imachange zamy ya hiphop now
Umemaliza mkuuWakitoa mfululizo mara utasikia wanaroho mbaya wanataka kufunika ngoma za wenzao!
Wabongo tunapenda mafanikio ila tunawachukia wenye mafanikio
Mweny nyimb ya huy jamaa aniSAIDIE mana jina linazungumzwa sana.aiseWanamuogopa harmo rapa
We jamaa WCB waliwahi kukunyima nafasi gani?Hiyo ndio ishatoka Hiyo.
Siku hizi wanatafuta Kiki za kuita wenzao nyani.
Joketi ktk ubora wake.Hiyo ndio ishatoka Hiyo.
Siku hizi wanatafuta Kiki za kuita wenzao nyani.
Harmo Rapa kuitwa nyani kwako sio tatizo?!We jamaa WCB waliwahi kukunyima nafasi gani?
Hongera kwa kununua jezi ya nyokohamaHiyo ndio ishatoka Hiyo.
Siku hizi wanatafuta Kiki za kuita wenzao nyani.