WCB kuna mdudu si bure

Jukwaa LA siasa linasikitishwa na hili bandiko.
 
lini harmonize kaondoma WCB?
 
Bado twasubil nchaw ya kutoka Ntwala!¡
 
Nguruwe/MDUDU ni hatari sana kwa afya yako, unaona sasa alivyoharibu akili zako kwa kuona siku hizi anaishi WCB?
 
Peleka uzi huu jukwaa husika

Ova
 
Kma mali ulizipata kimazingaobwe, na zitaobdoka kimazingaobwe.
 
Huu ujinga wa wanachama wa freemason peleka huko fb.
Hapa ni jukwaa la siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…