WCB kwanini wanamtenga sana Richmavoko?

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Ukiangalia kwenye mambo mengi jamaa huwa hawaambatani naye,halafu ukitazama kwa wasanii wote wa lebel ya WCB wako approved na instagram kuwa zile ni real accont zao ila sembuse yeye shida nn? Kama hawampendi si wamuache aende zake maana kuna za nyuma ya pazia kuwa jamaaa ameishachoka sema mkataba tu ndio unamfunga
 
Account za wenzake kuwa verified sio kigezo cha kwamba wana mtenga. Hukiangalia Mavoko ni msani Mkongwe kuliko hao wengi so jamaa anajua, pili jamaa sio mpenda kiki, uenda ndio anaonekana kapoa sema Mavoko ni hatare... Waulize WCB Wanajua
 
Mwingine Mangi Kimambi yeye anafollowers Million 1.6 na hajawa verified kwani kitufe cha verified kachukua Diamond au Mark Zuckerberg au Mark Zuckerberg anamtenga mavoko.?
Hizo tiki hatoi daimond bana,,
Kuna watu insta wana followe laki tu lakin wana tiki,,sijajua ni vigezo vipi wanatumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…