Mtoa mada anasema WCB inawaitaji clouds na me nimemuuliza Kama kweli WCB inawaitaji clouds mbona wasanii wa hao clouds hawafanyi vizuri? WCB wapo mbali kuliko hao wasaniiHuenda diamond angekuwa mbali zaidi ya hapo unapomuona!
Au unamuona ameshafika mwisho?
"Bila show off" 😂😂.Sijaona hiyo rist ya ratiba zaidi ya Maneno tu,. Kuna wasanii wengi tu hapa bongo wamepiga show nje kwa uganda na kenya wengi wanapiga show tena bila show off
Konde mwenyew anatembelea chaki saiz [emoji2]
Swali kuntu Hilo akikujibu nitagHebu kwanza tueleze hao wasanii wanaopewa promo na hiyo clouds na hizo radio zingine ulizotaja wana nini cha ziada ambacho hao wa wcb hawana, alafu ndo tuendelee
Atakwambia wanasikika mikoani.Hebu kwanza tueleze hao wasanii wanaopewa promo na hiyo clouds na hizo radio zingine ulizotaja wana nini cha ziada ambacho hao wa wcb hawana, alafu ndo tuendelee
Mbona ata uko mikoani ngoma za WCB zinasikika Sana.
Usiseme hawafanyi vizuri,au kufanya kwako vizuri ni mpaka walingane au kumzidi Diamond?Unaweza sema akina Marioo,King Kiba,Jux,Barnaba,Ney wa mitego,Vanessa,Harmonize Nk hawafanyi vizuri?Mtoa mada anasema WCB inawaitaji clouds na me nimemuuliza Kama kweli WCB inawaitaji clouds mbona wasanii wa hao clouds hawafanyi vizuri? WCB wapo mbali kuliko hao wasanii
Nitajie ngoma hata moja alitoa kiba mwaka 2019 ikawa hit song? Hata ngoma kubwa ya harmonize ni kwangwaru ni ile aliyoifanya akiwa yupo WCB.Clouds ndo wanamuitaji diamond kuliko diamond kuwaitaji cloudsUsiseme hawafanyi vizuri,au kufanya kwako vizuri ni mpaka walingane au kumzidi Diamond?Unaweza sema akina Marioo,King Kiba,Jux,Barnaba,Ney wa mitego,Vanessa,Harmonize Nk hawafanyi vizuri?
Shida ni kuwa unaka kufanya kwao vizuri ni mpaka wamshinde Diamond!
Diamond tayari alikuwa ameshatengeneza fan base,lakini diamond bila maelewano na clouds na diamond akiwa na maelewano na clouds naona atasogea mbele zaidi kama atakuwa na maelewano na media nyingine!
Ndiyo maana mtoa mada una matatizo mahali.Haina haja kumjua mtoa mada ni nani
View attachment 1357361View attachment 1357363
View attachment 1357364View attachment 1357365
Sent using Jamii Forums mobile app
Kadogo na Mshumaa!Sasa unataka harmonize awe na ngoma kubwa kuliko kwangaru wakati ni juzi tu katoka WCB?Hata diamond hana ngoma kubwa kuliko kwangaru!Nitajie ngoma hata moja alitoa kiba mwaka 2019 ikawa hit song? Hata ngoma kubwa ya harmonize ni kwangwaru ni ile aliyoifanya akiwa yupo WCB.Clouds ndo wanamuitaji diamond kuliko diamond kuwaitaji clouds